Wimbo wa Salome una maadili kuliko uliofungiwa?

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
HAWA WANAODAI KUUFUNGIA WIMBO MOJA NA KURUHUSU WIMBO WA SALOME HADI IKULU??....

NAJIULIZA TU....
HAKUNA UPUNGUFU WA AKILI KAMA WATU WANAOJIFANYA KUJUA MAADILI WAKAKUBALI KUTEMBEA BILA NGUO HADHARANI NA KUMSUTA ALIYECHUKUA KANIKI KUMSETIRI ATEMBEAYE UCHI!
 
Download beat instrumental : ney wa mitego - wapo >> https://musicbaze.nextwapblog.com
Ahsante mkuu nimepata instrumental hiyo kesho familia yangu wote tunaanza mazoezi ya kukariri lyrics zake halafu tutarekodi kwa sauti zetu ila Maneno yake yale yake.....
Hivi mnajua Bashite...jipu matata from colomije.....ney piga kazii asikupangie mtu..japo sidhani km unao uhuru huo to that extent so be careful & watch it baada ya kutoka centeroo
 
Ume-reason jambo la Msingi sana gkutta .

Ni wachache sana kati yetu tutakaokuelewa kwa hili.Sababu kuu ya kutokukuelewa ni kwasababu wengi wetu tu MASHABIKI.Ushabiki unaweza kuwa wa Kidini, Kimichezo, Kikabila, Kisanaa nk.Mtu kuwa SHABIKI ni kuwa na kuwa na Mabega yaliyobeba mpira na siyo Ubongo, yaani uwezo wa kuupigania upande wako unaoushabikia ilhali ukweli upo wazi.

Mashabiki wengi ni watetezi wa upande wanaoushabikia hata kama jambo lenyewe lipo wazi kuwa hapaswi kushabikia.Jambo la msingi ni watu kuacha USHABIKI na kuanza-ku-reason, kusaili, na kudodosa there after Mind yako inakuwa free.Ndivyo walivyofanya kina Copernicus, Pythagoras, Ngugi wa Thiongo,Dahafrazeril nk WALI-REASON kwanza na hawakuwahi kuwa MASHABIKI.

BASATA ni mashabiki na ndiyo maana wanaufungia wimbo huu na kutoufungia wimbo mwingine ilhali maudhui ya nyimbo zote (I mean mashairi) ya nyimbo yanafanana.Huu kwangu ni USHABIKI na siyo halali hata kidogo.Siwapendi mashabiki.

USHABIKI ni hatari sana.[HASHTAG]#SayNoToUshabiki[/HASHTAG].
 
HAWA WANAODAI KUUFUNGIA WIMBO MOJA NA KURUHUSU WIMBO WA SALOME HADI IKULU??....

NAJIULIZA TU....
HAKUNA UPUNGUFU WA AKILI KAMA WATU WANAOJIFANYA KUJUA MAADILI WAKAKUBALI KUTEMBEA BILA NGUO HADHARANI NA KUMSUTA ALIYECHUKUA KANIKI KUMSETIRI ATEMBEAYE UCHI!

......hauhatarisha usalama na amani ya nchi!!!!
 
Unatizama chini Salome wangu ukimuona jongoo(uume)

Shika magoti(mbuzi kagoma) nimesimama kama ngongoti(amesimama nyuma ya mtu aliyeshika magoti,aliyegonoka mbuzi kagoma)
 
HAWA WANAODAI KUUFUNGIA WIMBO MOJA NA KURUHUSU WIMBO WA SALOME HADI IKULU??....

NAJIULIZA TU....
HAKUNA UPUNGUFU WA AKILI KAMA WATU WANAOJIFANYA KUJUA MAADILI WAKAKUBALI KUTEMBEA BILA NGUO HADHARANI NA KUMSUTA ALIYECHUKUA KANIKI KUMSETIRI ATEMBEAYE UCHI!
Ukiwa na mazuzu wape mziki na pombe, they will forget everything. Kukosoa kitu cha wazi ni kosa (according to basata), ila kuimba ugigidaji ni sawa (according to basata). Akili
 
Uko sahihi W a tz wana nidhamu ya woga na wakimpenda mtu hana baya nyimbo ya salome kwa ajua swahili fasaa anajua maana ya hiyo nyimbo
 
Ahsante mkuu nimepata instrumental hiyo kesho familia yangu wote tunaanza mazoezi ya kukariri lyrics zake halafu tutarekodi kwa sauti zetu ila Maneno yake yale yake.....
Hivi mnajua Bashite...jipu matata from colomije.....ney piga kazii asikupangie mtu..japo sidhani km unao uhuru huo to that extent so be careful & watch it baada ya kutoka centeroo
PAM0JA
 
si nasikia rais kasema upigwe tu

Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Troll JF, 13 minutes ago.

Unwatch Thread
Page 2 of 2
12
Go to First Unread

  1. Troll JF JF-Expert Member
    #1
    13 minutes ago

    Joined: Feb 6, 2015
    Messages: 3,712
    Likes Received: 3,445
    Trophy Points: 280
    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa Mitego aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo.

    Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo huo, na badala yake uendelee kupigwa tu kama nyimbo nyingine.

    Akiongea na Wandishi wa Habari muda huu mjini Dodoma, Dk. Mwakyembe amesema hata Rais Magufuli amefurahishwa na wimbo huo wa WAPO, na kumshauri Msanii huyo kama inawezekana aendelee kutaja watu wengine kama vile Wakwepa Kodi, Wauza Unga, Wabwia Unga, Wezi pamoja na watu wengine wasio na maadili mema katika jamii.
 
Unatizama chini Salome wangu ukimuona jongoo(uume)

Shika magoti(mbuzi kagoma) nimesimama kama ngongoti(amesimama nyuma ya mtu aliyeshika magoti,aliyegonoka mbuzi kagoma)
Ule mwimbo siwezi kuimba mbele ya mtoto wangu hasa kipande cha jongoo. maana jongoo najua.
 
Back
Top Bottom