Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
mapema leo BASATA walitoa habari ya kuufungia wimbo wa [HASHTAG]#WAPO[/HASHTAG] wa NEY WAMITEGO, Lakini Waziri wa habari Mh. Mwakyembe ameliagiza jeshi la polisi kumuachia huru msanii wa muziki Nay wamitego na wimbo upigwe kwenye stations zote kama kawaida.
BASATA hawana budi kutoa tamko lao la mara ya pili kwa watanzania, watuambie kama wataendelea kusimamia msimamo wao au lah!
KAULI YA WAZIRI HII HAPA CHINI
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe, ameliagiza
Jeshi la Polisi
kumuachia huru Msanii
Ney wa Mitego aliyekuwa
akishikiliwa na Jeshi
hilo.
Waziri Mwakyembe
ameishauri pia BASATA
kuondoa zuio lake dhidi
ya wimbo huo, na badala
yake uendelee kupigwa tu
kama nyimbo nyingine.
Akiongea na Wandishi wa
Habari muda huu mjini
Dodoma, Dk. Mwakyembe
amesema hata Rais
Magufuli amefurahishwa
na wimbo huo wa WAPO,
na kumshauri Msanii
kama inawezekana
aendelee kutaja watu
wengine kama vile
Wakwepa Kodi, Wauza
Unga, Wabwia Unga, Wezi
pamoja na watu wengine
wasio na maadili mema
katika jamii.
...LYRICS ZA WIMBO WENYEWE HII HAPA CHINI...
WAPO by NEY
Verse 1:
Unachokipanda leo ndicho utachovuna kesho.
Imeandikwa Mwanaume kula kwa jasho.
Najiuliza hivi ni nani kaiona kesho.
Chapa mwendo na ukilala hauna chako.
Hivi uhuru wa kuongea kwenye hii nchi bado upo?.
Usije kuongea vitu kesho ukajikuta sentro.
Chorus:
Kuna viongozi wavuta bangi? "wapo "
Maana wana maamuzi ya kise.... "wapo"
Kuna walio mmiss Jakaya? "wapo"
Walio choka kuisoma namba? "wapo"
Kuna walio poteza malinda? "wapo"
Kuna wasanii mateja? "wapo"
Kuna mademu wanasagana? "wapo"
Kuna vidume wanalelewa? "wapo"
Kuna wasanii wanarogana? "wapo"
Verse 2
Kuna Radio na Tv, naona zimeshapoteza CV.
Hakuna uhuru wa habari, wala taarifa ya habari.
Wanapindisha pindisha tu kuiogopa serikali.
Siamini nchi inaendeshwa na kiki.
Siasa inafunika mziki.
Viongozi wanashindana kukiki.
Wanagombea front page, wauze kwenye gazeti.
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti.
Verse 3
Kiongozi mwenye busara anapokea ushauri.
Anapokea mawazo,haweki mbele kiburi.
Hey! Samahani mheshimiwa, hivi unamjua BASHITE?.
hili ni jipu jipya toka koromije.
Limesha iva na usaa, limeshatunga.
Na kukabidhi sindano ya kulidunga.
Daktari haogopi ukubwa wa kidonda.
We_si Dr wa majipu, tumbua hakuna kuvunga.
Kuvamia ofisi za watu kumbe nayo ni kazi.
Hakuna noma wanangu pigeni kazi.
Boda boda kazi, bajaji Kazi.
Eti! Vipi? Kukaba nayo kazi?.
Refa ni wao piga manati.
Vita ya Masai na mmang'ati.
Biashara ya ngono na Super shafti.
Pumzi imekata nashika shati...
Hahahahahaha! Wewe mtu gani sasa......
Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa......
Umerongwa wewe,........
unajiona ndugu yake na Yesu ee....
Oya! Wanangu eeeh! Round hii mtanyooka haki ya Mungu.
Naona kichaa kapewa Rungu..
MWISHO:
BASATA hawana budi kutoa tamko lao la mara ya pili kwa watanzania, watuambie kama wataendelea kusimamia msimamo wao au lah!
KAULI YA WAZIRI HII HAPA CHINI
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe, ameliagiza
Jeshi la Polisi
kumuachia huru Msanii
Ney wa Mitego aliyekuwa
akishikiliwa na Jeshi
hilo.
Waziri Mwakyembe
ameishauri pia BASATA
kuondoa zuio lake dhidi
ya wimbo huo, na badala
yake uendelee kupigwa tu
kama nyimbo nyingine.
Akiongea na Wandishi wa
Habari muda huu mjini
Dodoma, Dk. Mwakyembe
amesema hata Rais
Magufuli amefurahishwa
na wimbo huo wa WAPO,
na kumshauri Msanii
kama inawezekana
aendelee kutaja watu
wengine kama vile
Wakwepa Kodi, Wauza
Unga, Wabwia Unga, Wezi
pamoja na watu wengine
wasio na maadili mema
katika jamii.
...LYRICS ZA WIMBO WENYEWE HII HAPA CHINI...
WAPO by NEY
Verse 1:
Unachokipanda leo ndicho utachovuna kesho.
Imeandikwa Mwanaume kula kwa jasho.
Najiuliza hivi ni nani kaiona kesho.
Chapa mwendo na ukilala hauna chako.
Hivi uhuru wa kuongea kwenye hii nchi bado upo?.
Usije kuongea vitu kesho ukajikuta sentro.
Chorus:
Kuna viongozi wavuta bangi? "wapo "
Maana wana maamuzi ya kise.... "wapo"
Kuna walio mmiss Jakaya? "wapo"
Walio choka kuisoma namba? "wapo"
Kuna walio poteza malinda? "wapo"
Kuna wasanii mateja? "wapo"
Kuna mademu wanasagana? "wapo"
Kuna vidume wanalelewa? "wapo"
Kuna wasanii wanarogana? "wapo"
Verse 2
Kuna Radio na Tv, naona zimeshapoteza CV.
Hakuna uhuru wa habari, wala taarifa ya habari.
Wanapindisha pindisha tu kuiogopa serikali.
Siamini nchi inaendeshwa na kiki.
Siasa inafunika mziki.
Viongozi wanashindana kukiki.
Wanagombea front page, wauze kwenye gazeti.
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti.
Verse 3
Kiongozi mwenye busara anapokea ushauri.
Anapokea mawazo,haweki mbele kiburi.
Hey! Samahani mheshimiwa, hivi unamjua BASHITE?.
hili ni jipu jipya toka koromije.
Limesha iva na usaa, limeshatunga.
Na kukabidhi sindano ya kulidunga.
Daktari haogopi ukubwa wa kidonda.
We_si Dr wa majipu, tumbua hakuna kuvunga.
Kuvamia ofisi za watu kumbe nayo ni kazi.
Hakuna noma wanangu pigeni kazi.
Boda boda kazi, bajaji Kazi.
Eti! Vipi? Kukaba nayo kazi?.
Refa ni wao piga manati.
Vita ya Masai na mmang'ati.
Biashara ya ngono na Super shafti.
Pumzi imekata nashika shati...
Hahahahahaha! Wewe mtu gani sasa......
Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa......
Umerongwa wewe,........
unajiona ndugu yake na Yesu ee....
Oya! Wanangu eeeh! Round hii mtanyooka haki ya Mungu.
Naona kichaa kapewa Rungu..
MWISHO: