DAUDI KASIM
New Member
- Mar 27, 2017
- 1
- 0
Jamani tunaomba Tanesco waje kuchukua nguzo zao maana zinaoza mali ya Serikali kuweni na huruma nguzo kama hamtaki kuweka umeme kwny majumba ya watu toeni hizo nguzo zenu hapo zinaoza sasa picha hizo ni ushahidi tosha.
Mara ya kwnza zilitaka kuungua watu wa mkokozi walikuwa wanasafisha mazingira bahati mbaya moto ukazikalibia watu wakauzima, pia walilipoti wakaambiwa watafanyia kazi hadi sasa hakuna chochote.
Kama wameshindwa kuwawekea watu umeme basi wazitoe hapo chini. Tunaomba Rais wa wanyonge asaidie hili maan watu wamesahau majukum yao.
Sina mengi ya kuongea naomba utekelezaji tayari pale kuna nyumba nyingi zinahitaji umeme kwanini msiwaweke watu umeme nguzo hizo zisibaki kuharibika hapo chini?