Nataka kuhamia Mwanza je ni maeneo yapi mazuri kwa kuishi

fredymkanza

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
284
152
Nataka kahamia Mwanza ni maeneo yepi mazuri ya kuishi ambayo hayapatikani na madhara kipindi cha mvua na wala hukai chini ya miamba?
Ushauri tahadhali
 
Kodi za nyumba katikati ya Jiji ni bei gani single room?
Nakushauri vuka ferry ukaishi pale kijijini Kamanga unaweza kuenjoy sana, Bila shaka utapata nyumba kwa bei rahisi na utakuwa unavuka kwa feri kwenda na kurudi town!
 
Bwiru, Nyamhongolo, Buswelu, Isamilo au Capri City.. Chaguo ni lako...
 
Bwiru, Nyamhongolo, Buswelu, Isamilo au Capri City,, chaguo ni lako..
 
Back
Top Bottom