Jiwe la ajabu : Msaada tafadhali kwa wataalamu

Prof Kibogoyo

Senior Member
May 31, 2016
112
164
Msaada, mwanangu kaokota ili jiwe, nimeshindwa kuelewa ni jiwe la namna gani, kuna kiini ndani yake, ukilegeuza jiwe nacho kinageuka.

Nimeona nisilitupe yazekana ni Mali, ebu wataalum niambieni:
1490617534415.jpg
1490617544771.jpg
 
hebu lipige picha vizuri, lisionekane kwa ukaribu sana, make sure lionekane clear.
 
Back
Top Bottom