Tupaze sauti:taja eneo uliloshuhudua majambazi wa boda boda wakipora kwa bunduki.

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Wakuu hili tatizo kwa dar lishakuwa ni sugu..hebu tusaidiaje kutaja maeneo yanapotokea uporaji wa wazi wa fedha na kwa kutumia boda boda na kutishia bastola.

Mimi naanza na Tabata huku ishakuwa kero.
 
Back
Top Bottom