B bibinnaa JF-Expert Member Jan 17, 2017 1,500 1,377 Apr 1, 2017 #1 Mstahiki Mayor wa Ubungo tafadhali tujulishe nini kinaendelea katika Ofiisi ya Kata ya Sinza hususani upande wa Ustawi wa Jamii. Tunakuomba Mh .Mayor.
Mstahiki Mayor wa Ubungo tafadhali tujulishe nini kinaendelea katika Ofiisi ya Kata ya Sinza hususani upande wa Ustawi wa Jamii. Tunakuomba Mh .Mayor.
K Kichakoro JF-Expert Member Sep 10, 2008 3,302 6,112 Apr 1, 2017 #2 Atajuaje bila kumpa hint mapyngufu yliyoyaona?