Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,550
Habari za wakati huu wataalamu!
Hivi ni kwanini sikuhizi huu mtandao wa VODACOM Umekua ukisuasua?!
Yani mambo ni tofauti kabisa na mitandao mingine mtandao wa Voda sikuhizi wamekua wa ajabu sana marekebisho kila kukicha, kero kero nyingi, kukata mtandao sasa ndo usiseme.
Wataalamu tatizo ninini hasa??
Na mbona mitandao mingine haina hayo mambo mara kwa mara kama ilivo kwa VODACOM??!
Kwakweli VODACOM mnaudhi sana sikuhizi.