Rais Magufuli waalike Ethiopia kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
EAC haijakamilika bila Ethiopia. Ethiopia itakuwa ni nguzo ya tatu ya uchumi wa Jumuiya baada ya Kenya na Tanzania; ina soko kubwa la watu zaidi ya milioni 90.
Itakuwa ni jambo jema endapo Rais Magufuli, kama mwenyekiti wa Jumuiya, akiwakaribisha rasmi wajiunge na Jumuiya ya Afrika Mashariki!

7096f389-19de-49f4-b176-fd69980eb109.jpg
 
EAC haujakamilika bila Ethiopia. Ethiopia itakuwa ni nguzo ya tatu ya uchumi wa Jumuiya baada ya Kenya na Tanzania; ina soko kubwa la watu zaidi ya milioni 90.
Itakuwa ni jambo jema endapo Rais Magufuli, kama mwenyekiti wa Jumuiya, akiwakaribisha rasmi wajiunge na Jumuiya ya Afrika Mashariki!

7096f389-19de-49f4-b176-fd69980eb109.jpg
Je Ethiopia inapakana na nchi yeyote zilizopo ndani ya jumuiya ya E. AFRICA? WAZO LAKO NI ZURI!!
 
Ni kweli kabisa. Ethiopia pia wanatuhitaji sisi kwa kuwa tuna chakula na ardhi yenye rutuba ya kutosha.
 
Je Ethiopia inapakana na nchi yeyote zilizopo ndani ya jumuiya ya E. AFRICA? WAZO LAKO NI ZURI!!
Ndio.......Kenya na South Sudan. Barabara ya kuunganisha Nairobi na Addis Ababa imeshakamilika, kwa hiyo unaweza ukatoka Dar to Addis full lami!
 
Back
Top Bottom