Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,417
Jana nimekutana na Mwalimu wa Zamani wa Masomo ya Sayansi ambaye alipata kuhudumu katika shule za Mzizima na Kinondoni Muslim kati ya mwaka 1971 mpaka mwaka 1988 alipostaafu na kuenda kuishi Mumbai.
Ni mwalimu mcheshi na bado ana nguzu zake imara kabisa. Aliniambia kwamba ana hamu kubwa sana ya kukutana na wanfunzi wake aliowafundisha miaka hiyo na alimkumbuka mmoja ambaye aliwahi kuwa Golikipa wa Simba miaka ya 1980.
Kwa sasa yuko Dar maeneo ya Upanga na aliniachia mawasiliano yake.
Kwa wale wanafunzi ambao wangependa kupata kahawa na mwalimu wao na kukumbushana ya zamani wani PM nitawapa mawasiliano yake.
Ni jambo jema kwa Mwalimu kuwakumbuka wanafunzi wake.