salamu nyingi kwenu wadau,
kama mada inavyojitambulisha ningependa kupewa taarifa ya
1. gym nzuri hapa Mwanza
2. gharama zao
3. muda wa kupata huduma
Natanguliza shukrani kwa wooote...
Nimekuwa nikijiuliza Mara nyingi kuwa elimu inayotolewa nchini Tanzania hulenga nini na ni faida kwa nani? Sio Siri imechukua muda mrefu kutambua kuwa elimu ya Tanzania hususani ya juu huwapoteza...
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.
Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa...
Utamaduni wa kutokusoma vitabu umetapakaa sana miongoni mwetu. Nimewahi kujiunga na makundi zaidi ya matatu ya kusoma lakini yalikufa na mengine kudumaa na hata kusinyaa. Kuna kipindi nikiwa...
Samahani.
Ukiachana na hii rate ya sasa hivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia...
Wakuu Mimi sio mpenzi wa mpira wa miguu,
Ila imetokea tu sasahivi nipo mahali natuliza akili then kwenye screen kuna game ya KAGERA vs SIMBA,
SASA NAWAONA MAKIPA KILA WAKIDAKA MPIRA HUPIGA...
Sababu pelekezi kwa nchi hii kutoendelea kamwe kwa sababu zifuatazo, Unafiki, hatukubali kukaa chini nakujitathmini ili tuanze kujijenga upya (kwa ajili ya generation zijazo na si tuliopo sasa)...
Lengo lilikuwa kuwakutanisha watu mbalimbali waliopoteana tokea primary school, secondary, mtaani hadi makazini ili kuchat, kufurahi na kubadilishana mawazo.
Lakini sasa ma group haya yamegeuka...
Baada ya Tanzania na Ethiopia kukubaliana kwamba meli za Ethiopia zitatumia bandari ya Dar, nimejikuta nawaza, je Tanzania na sisi tuna shirika letu la meli? Linaitwa je? Linamiliki meli ngapi...
Jamani naombeni kusaidiwa namna ya kuweza kuanzisha kanisa, nimeona na kujirizisha pasipo shaka kua makanisa yanalipa, naangalia kipindi hapa kupitia star tv, kuna waumini wanatoa ushuhuda hapa...
Habari wana jamvi, mara nyingi tunmekuwa tunasaini mikataba imeadika permanent and pensionnable, nomba kujua namna vile wana fanya calculation ya pension, hizi habari za kusikia sikia mara oo yule...
[emoji121]
WAKUU,
MAOMBI YENU JAMANI,
NIPO MAENEO WALIPO WACHEZAJI NA MASHABIKI WA TIMU YA SIMBA,
NAWAONA WAMEBEBA NYUNDO NA BISIBISO,
SASA MIMI NATAKA NIKAWAUZIE NDIZI ZANGU
HIZI ALMAARUFU...
Wote tumeguswa Kwa kumpoteza Husna wetu huko Oman. Mimi amenigusa Zaid huyu binti. Nimeumia kupita maelezo. Siwezi kuhukumu yote namuachia Mungu. Mimi tu lile boksi la mbao lenye stempu na...
Niaje Wazeiyaaaaaaaaaaaah
EBANA SAWA:
Straight to the point.............
Leo niko ki technical kidogo... Masikhara nimeweka pembeni...
Kwenye field yangu... Nahitaji kuelewa kitu hapa...
ISSUE...
.
Wale mnaotumia usafiri wa daladala kwenda makazini kaeni mkao wa kutembea kwa miguu kwenda makazini maana kesho wamiliki wa vyombo vya usafiri wametangaza kuendesha mgomo usio na kikomo kupinga...
Tukiwa tumepokea ugeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia sio mbaya sana leo tukipeana maarifa zaidi kuhusu nchi hii iliyopo pembezoni(horn) mwa Afrika kwani naona kama ina historia nzuri sana kuanzia...
Karne moja na nusu iliopita Zanzibar ilikua ni nchi tajiri zaidi Africa kiasi cha kuzipa msaada nchi kadhaa za kiarabu.
zanzibar ni nchi ya mwanzo Africa kua na jumba refu zaidi(Bait el ajab)Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.