Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Habari wana jamvi, mara nyingi tunmekuwa tunasaini mikataba imeadika permanent and pensionnable, nomba kujua namna vile wana fanya calculation ya pension, hizi habari za kusikia sikia mara oo yule kapewa M100 mara M150, zinapatikanaje izo
Asanteni
Asanteni