bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,675
Tukiwa tumepokea ugeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia sio mbaya sana leo tukipeana maarifa zaidi kuhusu nchi hii iliyopo pembezoni(horn) mwa Afrika kwani naona kama ina historia nzuri sana kuanzia enzi za kikoloni mpaka Leo.
Kwa uelewa wangu mdogo najua mji wake Mkuu Unaitwa Adis Ababa, imewahi kuwa na wafalme maarufu kama vile Menelik na Haile Selasie.
Ni kati ya nchi ambazo hazikutaliwa na Wakoloni pamoja na Liberia kama nlivyomsikia Rais wetu Leo katika hotuba yake ya Kumkaribisha Mgeni wake, na pia mwl wangu wa Historia aliniambia sababu kuwa Ethiopia ina asili ya milima yenye mawe makubwa hivyo walikua wakiwaporomoshea wazungu hayo mawe, Wakoloni wenyewe nasikia walikua Waitaliano.
Kwa kifupi ni hayo nawe unakaribishwa zaidi kutujuza kuhusu nchi ya Ethiopia.
Karibuni.