Zanzibar ilitoa misaada na kuilisha Oman na baadh ya mataifa ya kiarabu

usiambini

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
627
558
Karne moja na nusu iliopita Zanzibar ilikua ni nchi tajiri zaidi Africa kiasi cha kuzipa msaada nchi kadhaa za kiarabu.
zanzibar ni nchi ya mwanzo Africa kua na jumba refu zaidi(Bait el ajab)Na lift ama elavator ya mwanzo east africa inayotumia umeme.Na most recently Zanzibar kwa east africa iliweza kumiliki televisheni ya rangi.
Ni jambo lakusikitisha kutawaliwa tena
Soma hii

After the death of Said bin Sultan on Zanzibar in 1856, Thuwaini became Sultan of Muscat and Oman, while his brother, the sixth son, Majid, took power on Zanzibar. Through British mediation it was agreed that Majid should pay a yearly tribute to Oman. However, Majid paid this tribute a few years only, and when he stopped, Thuwaini was in no position to enforce payment from the much wealthier Zanzibar. This left Muscat and Oman in a difficult financial situation.
 
nakumbuka nikiwa mdogo kulikuwa na reli inapita maeneo ya bububu ikitokea amani siku hizi wameng'oa reli yote
 
Haka kakisiwa kwanini tunakang'ang'ania? Kuna haja ya kuitisha maandamano yasiyokuwa na kikomo muungano uvunjwe tu mimi binafsi sijawahi kuona faida ya muungano tofauti tu lawama za Wazanzibar kila mara eti wanaonewa
 
Back
Top Bottom