According to the knowledge of my understanding I have seen the Tanzanian government launching the torch of freedom in Zanzibar which will run through the entire country, so on my understanding I...
Miaka yote tunaaminishwa Mbeya kuna misosi hatari. Vyakula kama chips unaweza kupewa hadi ndoo nzima kwa Buku. Watu wa Mbeya ni wakubwa kimiili. Wanawake ndio usiseme wakubwa kimiili na wababe...
UTAFITI:
Wataalamu wa Saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Penn State, Marekani wamegundua katika utafiti wao kuwa zaidi ya 90% ya watoto waliopitia maisha ya kunyanyaswa, kupigwa au kudhalilishwa...
Wakuu habari,
Moja kwa moja niende kwenye hoja. Mimi nikiwa kama mmoja wa wamiliki wa vyombo vinavyobeba abiria hapa nilikuwa na maswali kadhaa najiuliza.
Kwanza ieleweke sipo kwa lengo la...
Salaam,
Naangalia Tv hapa naona wanauwasha tena mwenge. Hebu tuweke mjadala wa wazi ili kufikia maamuzi ya kama bado huu mwenge una tija kwa watanzania.
Kila nikikumbuka gharama za kukimbiza...
Habari wadau,
Mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaliza...
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia...
Eti wakuu,
Yule mama yetu aliyesema ajira zingetoka mwezi wa tatu wakati hakuna kilichofanyika kesho atauambia umma nini tena. Siasa mpaka kwenye mambo yasio ya siasa.
Chama cha Mawakala na Makarani wa Usafiri wa Abiria jijini Dar es Salaam umesema hautambui mgomo wa wamiliki wa vyombo vya usafiri uliotangazwa na Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini TABOA...
Rais alikwisha lisemea hili la wamachinga kufanya biashara zao sehemu yoyote ile ya jiji
Na Mh anapotoa order, obvious huwa ni sheria ni lazima itelezwe!
Ni nani analiyekaidi agizo hili toka kwa...
Hivi kuna tofauti gani kubwa kati ya vyama hivi vya siasa kati ya CCM na CHADEMA?
Hapa tuwapime kwa maneno na matendo yao wanachokiamini na kukisimamia kwa misingi ya itikadi, falsafa na ajenda...
Nmekutana na bandiko la mwandishi aitwaye Luqman Maloto likikumbushia ahadi ya Mch. Anthony Lusekelo kuhusu mkwara wake alioutoa dhidi ya waandishi waliomwandika kuhusu skendo yake ya kulewa...
Wakuu kwa hili naona wanafaa kupongezwa. Hongereni kinamama wa TZ kwa kutovuta sigara hadharani. Kumwona mwanamke wa bongo akivuta sigara hadharani sio rahisi ukilinganisha na wanawake wa nchi...
NAOMBA THREAD hii imfikie Naibu waziri wa Afya.
Kuna watu wanatumia laptop na wanatembea sehemu mbalimbali huku wakiitumia kugundua magonjwa mbalimbali (diagnose).
Nimebahatika kuona report ya...
Wakuu nawasalimu. Mara baada ya salamu napenda kutangaza nia yangu kuingia rasmi kwenye siasa yaani kujiunga na chama mojawapo cha siasa hapa nchini.
Kwa kuwa wahusika wa vyama karibu vyote mko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.