Gwakisa George
Member
- May 26, 2013
- 67
- 14
Samahani.
Ukiachana na hii rate ya sasa hivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005.
Au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu hili please msaada wenu.