Wapi nitapata Gym nzuri jijini Mwanza?

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,427
1,993
salamu nyingi kwenu wadau,
kama mada inavyojitambulisha ningependa kupewa taarifa ya
1. gym nzuri hapa Mwanza
2. gharama zao
3. muda wa kupata huduma

Natanguliza shukrani kwa wooote watakaohusika hapa kwenye hii mada. La zaidi niwatakie Heri ya Mwaka mpya.
 
Kuna Gym moja matata sana Mitaa ya Deluxe Hotel bei zao na vifaa ni maelewano tu, mara nyingi wanafungua kuanzia saa 2 usiku
 
Naamini kwa wanaojua gharama watakujulisha, lakini pia kama mahala umeshaelekezwa unaweza enda kuulizia hapo hapo kwa ofisi husika.
 
Kuna Gym moja matata sana Mitaa ya Deluxe Hotel bei zao na vifaa ni maelewano tu, mara nyingi wanafungua kuanzia saa 2 usiku
shukrani mkuu, ila kidogo huo mda mmh nafikiri hautakua mzuri sana kwangu. anyway ntapita hapo mahali kwa maelezo zaidi
 
Mwanza hotel... upande wa swimming pool kule!!! 50k kwa mwezi, muda kuanzia asubuhi mpaka jion utakapojisikia tu
 
Safi sanaaa, nilihitaji kuona taarifa kama hii.
Labda kwa kuongezea kidogo mkuu, hiyo 50k/month wanatoa kiwango cha mda maalum wa kulipia kama kodi ya nyumba [mf: miezi mitatu mitatu,sita n.k],au ukiwa na hiyo 50k unalipa then mwezi ukiisha ukiwa unataka kuendelea unalipia tena?
 
ni hiyo 50k tu kwa kila mwezi... mwezi ukipita unaongeza 50k nyingine ka unataka kuendelea
 
salamu nyingi kwenu wadau,
kama mada inavyojitambulisha ningependa kupewa taarifa ya
1. gym nzuri hapa Mwanza
2. gharama zao
3. muda wa kupata huduma

Natanguliza shukrani kwa wooote watakaohusika hapa kwenye hii mada. La zaidi niwatakie Heri ya Mwaka mpya.
Nenda fortes ni shs 150000 kwa mwezi kuna vifaa vya mazoezi na sauna lakini pia nenda mwanza hotel shs 50000 kwa mwezi.
 
Fortes pazuri,ila mwanza hotel no,pengine pazuri ni ryans bay hotel,ni pakimya sana ma pazuri kama ni personal trainer,bei ni 80,000 kwa mwezi,ujinga wa Fortes lazima ulipie tar 1 ya kila mwezi
 
Hapo kwenye red kama sijapaelewa hivi unaeza kutoa ufafanuzi zaidi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom