Kijana Wa Makamo
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 212
- 116
Sababu pelekezi kwa nchi hii kutoendelea kamwe kwa sababu zifuatazo, Unafiki, hatukubali kukaa chini nakujitathmini ili tuanze kujijenga upya (kwa ajili ya generation zijazo na si tuliopo sasa), na hicho ndio kitu ambacho hatutakaa tufanye kamwe.
Tunaigiziana tu, mfano mdogo tu,Tanzania hatumo kwenye transparent democracy practice, hatumo kwenye dictatorship, hatumo kwenye Anarchy state, kwa kifupi tunaishi kama hatu-exist. (KAMWE HUWEZI KWENDA MAHALI PASIPO KUCHAGUA PAKWENDA,ALAFU KUPANGA NJIA UTAKAYOTUMIA,WAKATI WAKWENDA .NK.
Nchi kama nchi haina proper strategic plans ili tuendelee, Tanzania tuna tatizo kubwa la POLICIES MBOVU na zisizo reward ipasavyo specificly (policies zilizopo ziko too general). Nchi inaongozwa kwa ilani ya chama ingawa si kitu kibaya endapo ( ilani hizo za chama tawala zingekuwa katika master plan bora) kwa mfano kila baada ya 5yrs hadi 10yrs kila anaeongoza chama na nchi anakuja na mapya yake hatimaye kunakuwa hakuna mwelekeo chanya kwa nchi, mfumo mbovu wa elimu ambao hauleti marejesho chanya au lengwa kwa taifa ( swala la elimu si ile ya darasani tu, nikuanzia ngazi ya familia kuhusu mambo ya shule au elimu dunia), hakuna nia mathubuti na yakihalisia kutaka iendeleza nchi...
Nawasilisha