Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,073
Baada ya Tanzania na Ethiopia kukubaliana kwamba meli za Ethiopia zitatumia bandari ya Dar, nimejikuta nawaza, je Tanzania na sisi tuna shirika letu la meli? Linaitwa je? Linamiliki meli ngapi mpaka sasa? Kama halipo je Tanzania ya viwanda itawezaje kuuza bidhaa zake nje ya nchi kwa kutumia shipping line zetu? Just asking!
Kilichoƙuɓaliwa kati ya Ethiopia na Tanzania kuhusu ɓanɗari hiƙi hapa
Kilichoƙuɓaliwa kati ya Ethiopia na Tanzania kuhusu ɓanɗari hiƙi hapa