Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Niaje Wazeiyaaaaaaaaaaaah
EBANA SAWA:
Straight to the point.............
Leo niko ki technical kidogo... Masikhara nimeweka pembeni...
Kwenye field yangu... Nahitaji kuelewa kitu hapa...
ISSUE IKO HIVI:
Engineering imegawanyika matawi mengi sana... Mengi mno...
Siwezi kuyalist yote hapa.
Mfano mimi niko exposed zaidi kwenye Telecomunication Engineering. Lakin hiyo Telecom pia imegawanyika balaa... Kuna watu wa Transmission, Wireless, Core Network (CS na IP), VAS (Value Added Services), Billing, NOC, Security, Routing and Switching, Cloud Computing nakadhalika jamani vingi mno.... Umeona hapo!!
SASA BASI:
Mie siko vizuri kwenye Transmission, na hili swali linahusu sana watu wa Transmission nadhani..
Hivi ni kwanini Radio Broadcasting tunapata service free of charge lakini TV broadcasting tunalipia.... Nachoelewa zote Radio na TV zinatumia Radio Waves as a means of data transmission (including Terrestrial MW and Satellite) sema tofauti ni kuwa Radio ina transmit Audio pekee while TV ina include both Audio and Video.
From the technical point of view:
Nataka nielewe nini hasa kinafanya TV channels zilipiwe ilhali Radio channels popote pale ukiwa na radio unazipata tuuu...
Kama ni operating costs both Radio na TV zinazo.....
Ama hii issue ina political influence ndani yake mazee...
Maana politics imeingia kila sehemu.. Kuanzia story za IP address assignments, mambo ya TOEFL vs IELTS, mambo ya 60 Hz vs 50 Hz (frequency ya umeme), mambo ya 800 MHZ vs 900 MHz (frequency za GSM).
Wakuu.....
Tuache story sana, naombeni mwenye idea na hii issue anipe mwanga..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng