Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga...
18 Reactions
182 Replies
16K Views
Hivi ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombadier ulifanywa kwa kutumia utaratibu wa kutangaza tender? Ununuzi wa ndege tatu/nne zilizobaki nao utafanywa bila tender kutangazwa? Manunuzi ya umma...
8 Reactions
95 Replies
8K Views
*TAADHARI* Kuna mtindo mpya wa wizi umevamia jiji la Dar. Katika sherehe ya harusi ikiwa inaendelea majambazi uja na kuongea na MC wa harusi kuwa kuna gari namba fulani fulani nje ya ukumbi...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
YANAYOSABABISHA HALI NGUMU MITAANI NI HAYA. Waraka wa BASHIR YAKUB +255784482959. 1. Kuziba kwa mianya ya wizi bandarini. Kama tunasema bandari pekee ikitumika vizur inaweza kuilisha Tanzania...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na ongezeko la ghafla la malori makubwa yenye makontena toka bandarini yakitokea mwelekeo wa relini kwenda mwelekeo wa segerea. Je, wamebadilishiwa ruti? na je hii barabara itamaliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchungaji maarufu wa kanisa la ufufuo na uzima amedai kutumiwa ujumbe wa kutishiwa kifo na watu ambao hajawafahamu. Chanzo :Tanzania Daima
1 Reactions
60 Replies
10K Views
Tangu napata akili hua naona trekta zikipita au zikifanya shughuli za kilimo shambani lakini sijawahi kusikia hata siku moja labda break zimefeli au hazishiki na katika uchunguzi nilofanya kwemye...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Niwe mkweli mambo yamebadilika sanaaa Sana'a kiasi kwamba maisha kama unahisi kwako bado yapo vilevile nitapata shaka sanaa na labda km we ni mfanyakazi na ulikuwa unategemea mshahara uleule na...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Pamoja na huruma na utiifu kwa binadamu lakini bado anaongoza kwa kutolewa mifano mibaya kwa vipengele vingi vya maisha.. Haonewi huruma kabisa.. Wap alikosea hadi wema wake usikumbukwe? Mf...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
His real name is William Wesley, he was born in Dublin Ireland and grew up in London. His parents moved to the Central Africa Republic to work there as missionaries while he was at age of 12 ...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Hawa jamaa leo sijuhi kitu gani kimewakuta, malipo mengi yanayofanyika kupitia huko yamekwama pesa haziendi wala kuingia ...ambazo zimetumwa ziko juu juu tu si zinakotoka na wala si zinakokwenda...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Salam wandugu. Nimekuwa nikifuatilia matajiri na viongozi wengi na wakubwa duniani kote, wengi huwa wembamba. Barack Obama, George W Bush, Dk John Magufuli, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Mwl...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani mwenye uelewa na hili swala.nahitaji kujiunga na bima ya afya kwa mimi binafsi nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Habarini wadau: katika maisha ya mwanainchi wa kawaida kuna mahitaji muhimu ili maisha yaweze kwenda na maendeleo yawepo. Kwanza ni chakula kwa maana ya lishe kamili na ushauri bora wa matumizi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni baada ya operesheni Tangaza Wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya iliyozinduliwa na RC wa Dar es Salaam , Paul Makonda. Hongera sana RC hivi sasa kwenye vituo vya daladala, vjiweni na maeneo...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni mfatiliaji mzuri sana wa vyombo vya habari Tanzania ila kitu nilichojifunza ni kuwa kwanini vipindi vingi vya radio na tv Tanzania vyote ni kama vinafanana tu, kiasi kwamba ukiamka asubuhi kila...
6 Reactions
67 Replies
53K Views
Wakati akizungumzia mipango ya Radio yao ya Efm mmoja wa Mabosi wa juu kabisa wa Efm Radio Denis Ssebo amesikika akisifia mambo kadha wa kadha ambayo Efm imeweza kufanikisha hadi sasa kuwa moja ya...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Poleni na majukumu wakuu Km kichwa cha habari kinavyosomeka, binafsi naataka kujua, ni mtu wa aina gani na mwenye sifa zipi ndo anapaswa kuushika Mwenge? Natamani kuugusa tu km kuushika...
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Nyumba zaidi ya hamsini zimeezuliwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha hapa Nyakanazi, wilayani Biharamulo mkoni Kagera. Miti kadhaa pia imeng'olewa na upepo huo
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukweli kuhusu story ya 'the Guardian ltd' kufungwa hii hapa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom