Sipati picha kesho Dar itakuwaje, wale wa mikoani nao itakuwa kero maana hakuna basi litakaloondoka.

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
.
Wale mnaotumia usafiri wa daladala kwenda makazini kaeni mkao wa kutembea kwa miguu kwenda makazini maana kesho wamiliki wa vyombo vya usafiri wametangaza kuendesha mgomo usio na kikomo kupinga sheria wanayoiita kandamizi.

Sipati picha kesho Dar itakuwaje, wale wa mikoani nao itakuwa kero maana hakuna basi litakaloondoka stendi .

[HASHTAG]#USHAURI[/HASHTAG].

Ni bora ukalale kazini kwako leo kuepusha matatizo , maana assume unaamka asubuhi unakaa Mbagala na unafanya kazi mikocheni zaidi ya km 16 utaweza kusugua gaga hadi huko ? Chukua shuka kalale ofisini usiku wa leo .
 
Kesho naingiza Landrover yangu 109 nitakuwa napiga root za Buzuruga tauni buku buku tu wenye magari yenu gomeni wiki nzima kabisa na sisi tupige pesa za kutosha fursa hiyoooo yaja!
 
.
Wale mnaotumia usafiri wa daladala kwenda makazini kaeni mkao wa kutembea kwa miguu kwenda makazini maana kesho wamiliki wa vyombo vya usafiri wametangaza kuendesha mgomo usio na kikomo kupinga sheria wanayoiita kandamizi.

Sipati picha kesho Dar itakuwaje, wale wa mikoani nao itakuwa kero maana hakuna basi litakaloondoka stendi .

[HASHTAG]#USHAURI[/HASHTAG].

Ni bora ukalale kazini kwako leo kuepusha matatizo , maana assume unaamka asubuhi unakaa Mbagala na unafanya kazi mikocheni zaidi ya km 16 utaweza kusugua gaga hadi huko ? Chukua shuka kalale ofisini usiku wa leo .
Kwasababu nisipoenda kazini ntakufa!?
 
Ngoja tuone kama Pondamali atasemaje maana alisema hajaribiwi hata kidogo na ukimlazimisha ndo hafanyi:D:D:D

Back
Top Bottom