Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,816
- 32,721
Wote tumeguswa Kwa kumpoteza Husna wetu huko Oman. Mimi amenigusa Zaid huyu binti. Nimeumia kupita maelezo. Siwezi kuhukumu yote namuachia Mungu. Mimi tu lile boksi la mbao lenye stempu na maandishi lilomrudisha Husna wetu limenifanya nibubujikwe na machozi. Binadamu tuna roho mbaya.
Kujua zaidi kuhusu kifo cha binti Husna, soma => Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?
Mungu amrehemu na aipe wepesi roho yake
Kujua zaidi kuhusu kifo cha binti Husna, soma => Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?
Mungu amrehemu na aipe wepesi roho yake