Kuna nini maeneo ya kati mjini Dar es Salaam, tunasikia milipuko mikubwa isioisha

Hapa Kurasini hatuna shaka, tunatandika biere kwenda mbele kumalizia wikendi, acheni stori zenu za kutisha tisha
 
Wakuu,
Nipo Dar Maeneo ya Sinza Na Nasikia Miungurumo Ya kitu kama maBomu au Milipuko uelekeo wa Mjini kwamaana ya Upanga, Posta, au Hata Oysterbay huko yapata nusu saa sasa mpaka tumepatwa na hofu!
Mliopo maeneo hayo Tupeni mrejesho kunani huko?
Ikulu ipo salama kweli?




Note: Miungurumo imekoma kwa Muda, na ikiendelea Ntawaambia
 
Yamuna Chhath is mainly celebrated in Indian city Mathura. It marks the day when Goddess Yamuna descended on the Earth. Hence this day is also known as Yamuna Jayanti or birth anniversary of Goddess Yamuna. It is celebrated on Shukla Paksha Shashthi in Chaitra month and falls during Chaitra Navratri.

Goddess Yamuna, being wife of Lord Shri Krishna, is revered by people of Braj which explains Yamuna Chhath being celebrated mainly by people of Mathura and Vrindavan.
 
Back
Top Bottom