Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WAKUU,
MAOMBI YENU JAMANI,
NIPO MAENEO WALIPO WACHEZAJI NA MASHABIKI WA TIMU YA SIMBA,
NAWAONA WAMEBEBA NYUNDO NA BISIBISO,
SASA MIMI NATAKA NIKAWAUZIE NDIZI ZANGU
HIZI ALMAARUFU NDIZI BUKOBA.
MAOMBI YENU JAMANI
NDIZI ZIUZIKE HIZI!