TBC wakiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa Dar mpaka aombe radhi.
 
Jukwaa la wahariri mbona wazugaji tu,wachumia tumbo hatari wao wanapewa chao wengine mbuluzwe tu hapana.
 
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa Dar mpaka aombe radhi.

Hivi ugomvi wa Makonda na wahariri unahusu nini hasa?
 
Kususa kutoa habari za MH RC ni kwakomoa wananchi kwa kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kupata habari na si MH RC manake yeye anaendelea na kazi km kawaida na uzuri no kwamba bado kuna chombo Cha habari kinampa coverage ya kutosha tu bila kusahau mitandao ya kijamii
 
Mkuu TBCCM ni televisheni ya CCM...kamwe hawawezi kuacha kutangaza habari za mwanaCCM mwenzao.
 
Ayoub Rioba na elimu yake yote iliyolala kichwani ameamua kuulinda ugali wake hata kama kwa kuonekana mjinga ila awaridhishe mabwana zake...hao tiibisii hapana stuff hata mmoja anayefuata hasa kile uandishi wa habari unachotaka ila wote elimu wameweka pembeni wanaendeshwa kwa remote iitwayo ccm.hao wametishwa tu msipoonyesha habari za bashite na nyie kazi hamna wakachachawa badala waonyeshe msimamo kulinda taaluma yao,makanjanja wakubwa wale.
 
Yaani Dr. Ryoba mteule wa raisi, raisi ambaye hasikii chochote kwa Rc aliyemteua, asitangaze habari zake hiyo haipo!
 
Back
Top Bottom