Jamaa aliyekufa miaka 14 iliyopita afufuka na kusimulia maisha aliyokutana nayo alipokuwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,061
Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule

Anadai uliyechukuliwa msukule huwa anaona yanavyofanyika mazishi yake lakini wao hawaomuoni na hawezi kuongea nao
Alidai walichukuliwa na kwenda kutumikishwa bandarini kupakua makontena mizigo,
chakula walichokuwa wakila ilikuwa ni nyama mbichi, pumba na unga uliokorogwa...
walikuwa hawanywi maji ila damu

Ila kuna siku alilishwa chakula ambacho hawaruhusiwi kula huko(ubwabwa anadai) ndipo akaibuka dunia hii sehemu ambayo haifahamu na watu kumkimbia na alipata wakati mgumu watukumuelewa...ilaalifanyiwa maombi kanisani ndipo akaweza kuongea na kurudia kawaida

  • Thanks
Reactions: PNC

Hizi movie zingine bhana
 
Alikimbia ndugu zake, sasa kakwama kaamua kurudi kwa gia hii. Haya avishwe kanzu nzuri na kuchinjiwa jogoo aliyenona.
 
Kwa kijiji hicho alicho taja kipo wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbey
 
Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule
Anadai uliyechukuliwa msukule huwa anaona yanavyofanyika mazishi yake lakini wao hawaomuoni na hawezi kuongea nao
Alidai walichukuliwa na kwenda kutumikishwa bandarini kupakua makontena mizigo,
chakula walichokuwa wakila ilikuwa ni nyama mbichi, pumba na unga uliokorogwa...
walikuwa hawanywi maji ila damu
Ila kuna siku alilishwa chakula ambacho hawaruhusiwi kula huko(ubwabwa anadai) ndipo akaibuka dunia hii sehemu ambayo haifahamu na watu kumkimbia na alipata wakati mgumu watukumuelewa...ilaalifanyiwa maombi kanisani ndipo akaweza kuongea na kurudia kawaida

Kwa kanda ya mbeya na Iringa,msukule akila wali na nyama mbichi lazima aibuke kama ilivotokea. Ni kawaida. Lakini pia kuna masharti ambayo mumiliki wa msukule alikosea na hivo kuadhibiwa namna hiyo kama ishara ya kumwajibisha
 
Back
Top Bottom