Kelele za chura hazimzuii mhe Makonda

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
979
Picha zinajieleza
IMG_20170405_141104_593.JPG

Akiwa na Mhe Katibu wa Wizara ya maji

Wakati wengi wanaendekeza propaganda ktk mitandao, watu makini wapo wanachapakazi.
Kelele zooote hatimaye upepo umetulia sasa tunachapa kazi kwa kwenda mbele.
Ushauri wangu media zote zianze kuandika habari za Mhe Makonda ili kuwaepusha na mdororo wa kiuchumi.
 
Mhe alitembelea Studio bora ya WASAFI , hongera Diamond piga hatua kwenda mbele usirud nyuma
 
Attachments

  • 24d4742388662a6c56c7f397c2387ee0.mp4
    3.4 MB · Views: 24
Mods mleta mada anavunja agizo la TEF
Ha ha haaa, hata Prof si umeona ameyameza maneno yake ya kuhusu tuhuma za vyeti? Hizo ni bla bla tunadanganywa wananchi.
Serikali imeshausoma mchezo wa pande hizo nia ni kurudisha nyuma kasi ya maendeleo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ha ha haaa, hata Prof si umeona ameyameza maneno yake ya kuhusu tuhuma za vyeti? Hizo ni bla bla tunadanganywa wananchi.
Serikali imeshausoma mchezo wa pande hizo nia ni kurudisha nyuma kasi ya maendeleo.

Nimegundua hujui unasimama wapi!! usiwasemee wananchi kwamba wanadanganywa sema wewew unadanganywa. suala la vyeti mhusika anatakiwa kuwaondoa shaka wananchi japo hata kwa maneno kuwa vyeti anavyo but kwa sababu Mkulu anakinga kifua si mbaya hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho pia mficha ugonjwa kifo humuumbua. mapambano yanaendelea...
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, imejaa unafiki mpaka inakera
 
Heri kuzaliwa south sudan kuliko kuzaliwa bongo polen wabongo 2mevuna tulichopanda
 
Nimegundua hujui unasimama wapi!! usiwasemee wananchi kwamba wanadanganywa sema wewew unadanganywa. suala la vyeti mhusika anatakiwa kuwaondoa shaka wananchi japo hata kwa maneno kuwa vyeti anavyo but kwa sababu Mkulu anakinga kifua si mbaya hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho pia mficha ugonjwa kifo humuumbua. mapambano yanaendelea...
Vipi tena povu?
Hoja imeshakufa kifo cha mende chaliii.
Wenye akili wameshausoma mchezo wewe baki na hizo akili zako nyingi.
Ngoja tuchape kazi sasa.
 
Picha zinajieleza
View attachment 491386
Akiwa na Mhe Katibu wa Wizara ya maji

Wakati wengi wanaendekeza propaganda ktk mitandao, watu makini wapo wanachapakazi.
Kelele zooote hatimaye upepo umetulia sasa tunachapa kazi kwa kwenda mbele.
Ushauri wangu media zote zianze kuandika habari za Mhe Makonda ili kuwaepusha na mdororo wa kiuchumi.
Waandishi wenyewe njaa tu lazma wataanza kusalitiana mda sio mrefu
 
Baada ya muda fulani, hii nchi itarudi kuwa ya wote...kejeli zitapungua
Wote kivipi mkuu hao wanaoongea sana ndiohaohao kesho wana kuwa hivi, nadhani hata mkumbo aliongea sanatu kuhusu vyeti lakini leo ndio hao wanashikana mikono kwa furaha na kicheko.

Nchi hii hata wewe mwenyewe usijiamini kesho unaweza ukaitwa na mkulu na ukachekelea nakwenda kuapa kama kawaida.

"Am jus' do ma own things."
 
Mwalimu wa unafkii popote pale alipo anifundishe tafadhari, maana uzoefu unaonyesha unafki kujipendekeza kunalipa na kuwatoa wengi kimaisha hata kama kihiyo au vyeti vyako feki.....
 
Back
Top Bottom