GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,617
Kiukweli tokea ateuliwe kushika nafasi ya Nape Nnauye Waziri mpya wa Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe kila anapokuwa anazungumza na Wanahabari namwona ni ' Mpayukaji ' zaidi badala ya kuwa ' Mtendaji ' hali ambayo imenifanya nijiulize hili swali ambalo nawaulizeni nanyi pia la kwamba kwa mnavyomuona ni Mwanamichezo wa kweli au anaulazimisha tu Uanamichezo ili ' kutuzuga ' Wabongo Kisiasa na tumwone ni Mwenzetu, tumkubali na tuweze kumlindia Kibarua chake?
Naomba kuwasilisha Kwenu na karibuni katika kulifanyia hili jambo ' udadavuaji ' wa kina.
Naomba kuwasilisha Kwenu na karibuni katika kulifanyia hili jambo ' udadavuaji ' wa kina.