Tapeli huyu jamani

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya
 
Elezea utapeli wake amefanya/kakufanya nini.
Isiwe unachuki na mtu huko ukaamua kumchafua.
Mod futa huu Uzi Kama hataleta maelezo ya kutosha
 
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya

Niko kwenye kambi ya dodoma. Ukifika ulizia afande ......
Kwa sababu nafasi imetoka moja. Mkuu amesema tumpe sh. ....

Hahahaaa afande mgaya
 
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya
Huyo jamaa nami kaniandikia mara mbili hizo SMS zake. Mara ya kwanza nilimjibu kuwa umekosea namba. Nilipopata siku nyingine nikajua ndio wale wale!!
 
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao ya simu maana wangesimamia vizuri zoezi la kusajili line yasinhetokea haya
Ni kweli hawa jamaa wana style nyingi sana,

Alishawah kutumiwa mke wangu hiyo mesej, akatumiwa kaka yangu hiyo hiyo.

Then tarehe 30 /3 nimetumiwa na mimi, ila namba ndio tofauti. Ila kiustaarabu kabisa nikampa jibu zuuuri.

Wapo hao na kuna wale wengine wanaojifanya waganga. Eti mtu kasaidiwa aalf hajaenda kutoa shukrani.

Ushahidi huo hapo chini.
663461e4b99eb724ef56b331d2989e69.jpg
 
Hii meseji hata mimi niliwahi ipata tena mara mbili.

Lakini nikapotezea na sikujua namba yangu ameipata wapi!

Tcra huwa hawadili na vitu kama hivi, wanadili na wanaokosoa sizonje tu.
 
Back
Top Bottom