Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Siyo kitu cha kawaida MTU kwenda mahakamani kwa lengo LA kubadili majina yake na kuamuwa kuyaacha/ kuyakana yale majina ambayo alipewa na wazazi wake. Haiingii akili kabisa itokee mfano Mimi MTU anaitwa Rais Magufuli, eti aende mahakamani aape kukana jina lake, jina LA baba yake pamoja na jina LA babu yake
Hicho kitu katika halo ya kawaida hakiwezi kutokea. Ukuiona mtu kafanya hivi juwa kabisa kuna kitu hakikosi saws hasa katika safari za elimu na maisha yetu.
Sasa napendekeza wale wore ambao rekodi zao xinaonesha wamebadili majina basi elimu na taarifa zao nyingine zichunguzwe ili kujiridhisha km walibadili majina kwa nia njema au la