Random JF-Expert Member Jan 8, 2017 791 742 Apr 5, 2017 #1 Tafadhali naomben ushauri nimshauri muhusika Matokeo yake ya kidato cha nne 2015:Kiswahil "d" engl "d" bios "d" 2016: kiswz"d" engl "d" histy d & geog d N.B. Excluded subjects marked "F"
Tafadhali naomben ushauri nimshauri muhusika Matokeo yake ya kidato cha nne 2015:Kiswahil "d" engl "d" bios "d" 2016: kiswz"d" engl "d" histy d & geog d N.B. Excluded subjects marked "F"
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,334 Apr 5, 2017 #2 Mshauri akagombee ukuu wa mkoa wa dar. Aweke vyeti mezani fasta.