Duuh! Kipindi nikiwa mtoto, nilikuwa nadoji kanisani ili nicheki ile tamthilia ya kichina(Joyrney to the West)...shivooo, bajieWakuu, nimekuwa napata shida siku ya jumapili asubuhi kuwaandaa watoto kwenda kusali. Mawazo yao yote huwa kwenye kuangalia vipindi vya watoto. Ni vizuri na vinaelimisha huvo napendekeza kubadirisha muda ama vianzie mchana ama jioni.
Huo ni ukatiri mkuu, wabadirishe muda.Mimi nilikua nazima umeme wakanishtukia, nikawa naficha remote kumbe watoto wako mbele yangu kidigitali nawakuta wanaangalia! sasa leo nimewaambia watch it hata kama mnapenda kuangalia sana tv not to that extent nendeni kanisani kwanza hamna uhuru huo, yule mdogo akaniuliza kwani na wewe ni ........
Biblia inatuambia Yesu alisema 'waacheni watoto waje kwangu', kuwakataza watoto kuangalia TV hasa vipindi vya watoto ni kuwanyima haki yao na kuwazuia kwenda kanisani vile vile ni kuwanyima haki yao. Kutatua tatizo ni kubadilisha muda wa vipindi tu. Tuendelee kumuomba Mungu wahusika walifikirie hili kuwapa haki watoto.Mungu akubariki kwa kuliona hili,kwangu imekuwa kama kwazo.maana mpaka kuepusha kuwachapa nimewakataza tv mpaka baada ya kutoka kanisani
Awashe redioUza tv
Wakuu, nimekuwa napata shida siku ya jumapili asubuhi kuwaandaa watoto kwenda kusali. Mawazo yao yote huwa kwenye kuangalia vipindi vya watoto. Ni vizuri na vinaelimisha huvo napendekeza kubadirisha muda ama vianzie mchana ama jioni.
Mkuu nimekuelewa sana lakini ibada ni muhimu zaidi. maana imeandikwa mlee mtoto katika njia impasayo.Biblia inatuambia Yesu alisema 'waacheni watoto waje kwangu', kuwakataza watoto kuangalia TV hasa vipindi vya watoto ni kuwanyima haki yao na kuwazuia kwenda kanisani vile vile ni kuwanyima haki yao. Kutatua tatizo ni kubadilisha muda wa vipindi tu. Tuendelee kumuomba Mungu wahusika walifikirie hili kuwapa haki watoto.
Nani kakwambia jumapili ni siku ya kusali? Nipe andiko linalokuunga mkonoWakuu, nimekuwa napata shida siku ya jumapili asubuhi kuwaandaa watoto kwenda kusali. Mawazo yao yote huwa kwenye kuangalia vipindi vya watoto. Ni vizuri na vinaelimisha huvo napendekeza kubadirisha muda ama vianzie mchana ama jioni.