Wiki sasa nilipata ujumbe kuwa naweza nunua hisa za vodacom kwa njia ya mpesa kupitia code *150*36# nikasema afadhali manake huku Kasoli genery hamna mawakala, nikajikunja kubofya simu mwisho nikapata ujumbe kuwa siwezi nunua cha ajabu salio langu la buku nalo halipo.
Hebu nyie voda tupeni maelekezo vizuri tujinunulie vi hisa vyetu hivi vicoba vimetuchosha.
Hebu nyie voda tupeni maelekezo vizuri tujinunulie vi hisa vyetu hivi vicoba vimetuchosha.