Heri ya mwaka mpya wakuu,
Mada tajwa hapo juu inahusika. Kautafiti kadogo nilichofanya kanaonesha magari yenye cc 1500 kushuka chini yanaongezeka kwa kasi ya ajabu.
Hivi sababu hasa ni Je:-
1.Nidhamu ya Matumizi Sahihi ya pesa imeongezeka.?
2.Ubora wa barabara zetu nchini umeongezeka hivi sasa?
3.Hali ya uchumi iliyopo Nchini kwa hivi sasa?
4.Mwenye uelewa zaidi atufahamishe....
Ni hayo tu.