maiko salumu
Member
- Jan 15, 2017
- 94
- 54
Wakuu naileta kwenu hivi zoezi la uondoaji sport light kwenye magari limeishia wapi au ni kwa ajili ya dar tu huku mikoani halikuwepo naomba nieleweshwe kidogo hapo
Hata huku kwetu lipo ila naona magari mengi awajatoa bali wamezitengenezea vifuko wamevishaWakuu naileta kwenu hivi zoezi la uondoaji sport light kwenye magari limeishia wapi au ni kwa ajili ya dar tu huku mikoani halikuwepo naomba nieleweshwe kidogo hapo