Wanajamii, habari za mchana..Naomba kama kuna yeyote ambaye anafahamu centres ambazo zinatoa service hii ya kufanya Logic and Psychometric Test hapa Dar anijullishe. Nimejaribu kuulizia pale British Council lakini hawatoi service hii hapa Dar mpaka Nairobi...Nitashukuru kama nitaweza kupata information hii muhimu .soonest....Aksanteni