Habari zenu jamani, hili wimbi la watu aina ya wasanii kutekwa na watu wasiojulikana, na hata vituo vya polisi hawapo vipi, waziri mwenye dhamana amesha sema chochote au kushirikiana na Waziri wa...
Kumezuka Tabia ya watu kuvamia watu na kuwakamata bila hata kujitambulisha wao ni kina nani na wanatokea wapi.
Tumeskia Roma kakamatwa na hajulikani alipo, wapo waliokamtwa kama hivyo na miezi...
Jamani wakuu wa JF nina ndugu yangu amekuja kunambia na kunishawishi kuhusu D9 clubs anataka nijiunge lakini bado nina wasi wasi isije kuwa kama desi au gambling zingine.naombeni ushauri kabla...
Hivi CHADEMA palipo na demokrasia ya kweli Unaweza kuleta watu 2 kwa nafasi 2? Mnaogopa nn kuleta watu wengi?, harafu Bunge likafanya Maamuzi? Mnaweza kulaumu chama tawala kumbe matatizo MNAYO...
Salam,
Juzi nilipata tatizo kwenye kibebi woka changu. Power window zilikuwa kama zimechanganyikiwa, ukishusha vioo vya gari nzima kwa kutumia batons za mlango wa dereva, vioo vinagoma. Ikabidi...
Jana wakati nafuatilia Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii waziri alikemea na kupiga marufuku mabango yote ya waganga wa kienyeji. Hiki kitendo kinakera sana. Maamuzi haya yamekuja kwa...
Kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Nzega kupitia CCM Hussein Bashe Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Mis use ya vyombo vya Ulinzi na usalama tunawajibu wa kulinda Taifa letu
Roma...
Rais wangu ƙipenzi unaetupenda sana sisi watanzania hasa sisi wanƴonge, pole na majukumu ƴa ƙujenga taifa. Nina maumivu maƙuɓwa ndani ƴa moƴo wangu naƙariɓia ƙupata msongo wa mawazo kutoƙana na...
Tafrani kubwa ilizuka ndani ya daladala baada ya joka kubwa aina ya chatu kuibuka ghafla wakati basi hilo likiwa ktk mwendo mkali.Basi hilo linafanya route ya Makumbusho=Kibamba na tafrani hiyo...
Wasalaam Wanabodi...
Jana nilileta uzi wa malalamiko yangu juu ya kwanini Serikali yetu tukufu itake kuhamisha ofisi za TANAPA kutoka Arusha na kuzipeleka Serengeti sambamba na kujenga uwanja...
Wadau habari ya ijumaa
Jamani siku hizi kuna magodoro ya aina mbalimbali
Naomba mnitajie kitu kimojawapo kinachoashiria godoro unalotumia limeisha muda wake hivyo kununua lingine
Asanteni
Ni miaka karibu miwili sijaenda nyumbani kutokana na harakati mbali mbali za utafutaji.
Last December nikasema lazima niende nyumbani hata kama ni kwa wiki moja tu.
Baada ya kufika home kama...
Jana katika pita pita yangu na kupanda magari ya mwendokasi nlikutana na mfanyakazi mmoja akiwa amesimama na hataki kuhudumia wananchi, Raia wakawa wanataka kumpiga lakn baadhi ya wasamaria wema...
Zangu hizi
1. Everything happens for a reason
2. Scratch my back and i'll scratch yours
3. I believe in Karma
4. To fear any man walking the earth is disrespectful to God
Hawa wenzetu wa ulaya kwa nini wapo hivi.
1. Kundi la waafrika ulaya- wakimbizi
2. Kundi la wazungu afrika - watalii
3. Kundi la waafrika msituni- majangili
4. Kundi la wazungu msituni- wawindaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.