Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
KADINARI wa KANISA KATOLIKI afate ASKOFU Ludovick MINDE.
Mara tatu nakutana naye kwenye maono kwa kazi ya Kimungu. Mwaka 2001 Siku ya Uaskofisho wake pale jimbo la Kahama nilikuwepo na nilitumikia misa yake tena nikishika Chetezo siku ya Uaskofisho wake kama Mtumikizi.
Imani yake ndio kubwa sana kiroho, ni mwenye misimamo mikali sana ya kiimani. Akifuatiwa na Askofu Ruachwi Thadeo wa jimbo la Mwanza. Lakini kiroho Minde ndio sahihi kuwa Kadinari wetu baada ya Mwadhama Kadinari Pengo. Sipigi debe ila kiroho hakuna ujanja inabidi iwe hivyo tu.
Askofu Kilaini ni mzuri kwa nafasi ya usemaji kwa kanisa na sio Ukadinari. Mungu bariki Kanisa Katoliki, Mungu bariki Tanzania.
Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.