sir mweli
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 495
- 573
Kumezuka Tabia ya watu kuvamia watu na kuwakamata bila hata kujitambulisha wao ni kina nani na wanatokea wapi.
Tumeskia Roma kakamatwa na hajulikani alipo, wapo waliokamtwa kama hivyo na miezi sasa imepita bado hawajulikani walipo.
Swali langu.. Hivi serekali hususani wizara husika mbona wapo kimyaaa.. Au watu tuanze kujihami na kujilinda wenyewe.. Maana watakuja magaidi au majambaz kuteka watu sisi tukakaa kimya tukijua ni polisi ..maana staili ya polisi kukamata watu saiv ndo hiyo... Tulishuhudia ndugu Nape akitishiwa bastola hadharani..
Baadae tukaambiwa hawakuwa polisi (maana nyingine walikuwa majambaz au magaidi) sasa tutajuaje huyu ni polisi na huyu ni jambaz kama wote wanatumia same style.. Walio mkamata ney walikuwa polisi, waliomkamata roma ni kina nan na tutatofautishaje km wote mnatumia style moja ya ukamataji (bila kujitambulisha).
Ni vema wizara husika walitolee ufafanuz.. Na mtu akamtwapo tupewe taarifa kuwa flan kakamatwa na yupo sehem flan.. Kwan nan asiyekumbuka ya Ben saanane... Fanyeni kaz kama wataalamu bana.. Mna aibisha fani zenu..