Taasisi zote zenye majina ya Muhimbili, iwe chuo kikuu cha tiba Muhimbili, kiwe Muhimbili National Hospital na hata hii taasisi mpya ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute kila siku wanafanya siasa...
Wanabodi, ni jioni hii nimepitia maeneo ya DIT kumwona mtoto wa rafiki yangu asomaye chuoni hapo akiwa mwaka wa kwanza. Mimemkuta kajiinamia kama anaongea peke yake.
Nilivyomuuliza kulikoni...
Much love for those who thought well in his/her mind.. let's say haloooo ?
- Can you think why your dread in my country like this? So you dread government or you dread the lost of life again after...
Kuna katabia kwenye hii halmashauri hasa idara ya elimu ya kutisha walimu na kuwaona wao si chochote. Hata kama mwalimu amekosea ni vizuri ukamuwajibisha kwa kulinda hadhi yake. Walimu ni watu...
Wakuu tafadhali naomba kufahamishwa utaratibu mpya wa kupata fao la kujitoa.
Kwa mara ya mwisho ilikuwa unaweza kupata kujitoa baada ya miezi 6 toka siku ya mwisho wa mkataba wa kazi na kupata...
Leo katika gazeti la Mwananchi la mtandaoni, kuna habari kwamba watoto 269 wanakufa kila siku nchini Tanzania habari ambazo zinaelekea kutia shaka.
Katika habari hiyo iloandikwa na mwandishi...
Kikubwa naongelea katika ukuaji wa uchumi na mfumuko wa bei , nidhani ya uongozi na utendaji kazi katika Nchi yetu {heshima ya hela na kazi imerudi nchini}.........naendelea na utafiti nitarudi...
Naombeni mnieleweshe kuhusu hii kitu iliyotokea nyumbani kwetu usiku wa kuamkia leo. Nasema usiku kwa sababu hali hii tumeikuta asubuhi na jana haikuwepo.
Iko hivi...
Mimi ninaishi kwenye nyumba...
Wakuu hii siyo story ya kufikirika hata kidogo, bali ni tukio la ukweli kabisa.
Siwezi kumtaja jina wala kuweka picha yake humu kutokana na maadili ya uandishi, endapo nikifanya hivyo, anaweza...
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi Angellah Kairuki akiwa kwenye kituo cha Utumishi Mkoani Mbeya.
Amesisitiza kwamba, utaratibu huo utaanza mapema...
Wakuu,
Hii sheria mpya inatia wasiwasi,ingawa haijapitishwa lakini naona mifuko wameshaanza kuzuia fao la kujitoa.
Nimesharesign na february nitakuwa free from my current emloyer,mfuko wangu ni...
Mwanzoni kwa mwaka nilisikia ngoma kali ya madogo (sijawanyaka majina) wakiirudia ngoma ya Mh.Sugu "Wananiita Sugu" ft Stara!Ile ngoma ni hatari sana madogo wamepita mulemule
Juzi kati tena...
Habari !!
nakumbuka wakati
Mawazo ameuawa na kukatokea shida kidogo wakati wa kuuchkua mwili wake ili ukazikwe kila mtu alisema lake.
Yamepita mambo kadhaa hapa katikati,sema mengine huwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.
Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake...
Nchi yetu inahitaji kuwa na maendeleo ya kasi katika uchumi, elimu na masuala ya mengine ya kijamii. Ili kufikia lengo hilo, Taifa linahitaji viongozi imara wanaoelekeza fikra zao katika kuleta...
Wakuu leo nimkutana na vijana fulani wakiwa na mdahalo wa uhalali wa siku ya tarehe 25 dec kama imehalalishwa kibiblia kusheherekewa,Mwenye uwelewa wa hili jambo anisidie/atusaidie
Tafadhari...
Hii ndio top 10 ya Wachungaji (Watumishi wa Mungu) wenye utajiri mkubwa zaidi Duniani, ripoti hii ni ya mwaka 2016.
1. Bishop David Oyedepo Net Worth 2016 – $150 Million (Nigeria)
2. Bishop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.