Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,281
Kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Nzega kupitia CCM Hussein Bashe Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Mis use ya vyombo vya Ulinzi na usalama tunawajibu wa kulinda Taifa letu
Roma amepotea Nape alitishiwa kuuwawa,Msukuma ,Malima na Bashe walitekwa "social media ikawaokoa",Ney alikamatwa "Rais akamuokoa"
Tunakabiliwa na vita kubwa ya kupambana na Umasikini na kujenga Taifa huru la kiuchumi .Umasikini ni hatari kwa usalama wa taifa sio nyimbo.
Tukikaa kimya kwakufikiri kuwa hayanihusu mimi yanamhusu yule yatakapokufika wewe hatakuepo mtu wa kukutetea na halitakuepo Taifa la Tz.