Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama isingekuwa ugunduzi wa mafuta uliotokea kwenye nchi nyingi za kiarabu katika karne ya 19 na 20, basi ni dhahiri kwamba leo hii pangekuwa na vichwa vya habari BBC na CNN vinavyosema "Tanzania...
5 Reactions
145 Replies
20K Views
Niliandika humu kipindi kilichopita nikiwa na uzi wenye kichwa kama hiki hapa Rais Magufuli wafanyakazi tumekukosea nini? Niwe mkweli kuwa sikuona dalili za uzi ule kumfikia mheshimiwa raisi...
17 Reactions
99 Replies
10K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi inakuwaje lakini nikiangalia taarifa za habari kuanzia channel10, Star TV, ITV, Azam TV na TBC zinakua hazina mvuto kama taarifa au matukio, au habari kama za mitandaoni? Hususani MITANDAO ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Vodacom kwa sasa wamekuwa na intaneti yenye spidi ndogo kuliko mitandao yote Tanzania..Wakuu atakaeuona ujumbe huu awafikishie wazee hawa wa hisa.
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanabodi ,katika angalia yangu ya movie nakumbuka kwenye series ya 24 Jack Bauer ilitokea akaingia katika site moja hivi kwa bahati mbaya akakutana na underground prison ambazo zina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nitumie nafasi kuomba SUMATRA ijielekeze huko Liwale ijonee ukatili na uhuni wa wenye magari ya usafiri wa Dar - Liwale/Liwale - Dar. Waheshimiwa hawa hawana ratiba zinazoeleweka, hawana mabasi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwenye nchi zenye historia ya ubaguzi wa rangi kama Marekani mara nyingi raia weusi wanalalamika kwamba mtoto mweusi akipotea au akitekwa suala lao huwa halivaliwi njuga kwa uzito unaostahili...
1 Reactions
0 Replies
608 Views
Mizigo inayobebwa kwenye basi kusafilishwa mikoani inalipa zaidi kuliko nauli za abiria mmoja mmoja! Hayo ni maneno ya mmiliki Wa basi moja linalofanya safari zake kati ya dar-mtwara; Kasema...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu Kulingana na hali ngumu ya maisha inayopelekea hii stres niliyonayo, nimejikuta nimetia mafuta ya taa kwenye mboga niliyotaka kuilost Baada ya tukio hilo nilijikuta sina jins zaid ya...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Kwakuwa mpaka sasa Polisi wameshindwa kujua Roma alipo. Vijana hasa washabiki wa Roma tupo tiyari kufanya kampain ya kupekua nchi yote popote alipo. Yani tupo tiyari kufanya msako nyumba hadi...
19 Reactions
183 Replies
15K Views
WELCOME TO THE 21ST CENTURY! *Our Phones Wireless* *Cooking – Fireless* *Cars – Keyless* *Food – Fatless* *Tyres – Tubeless* *Tools –...
1 Reactions
0 Replies
943 Views
Kipindi changu cha ujana sikukitumia vizuri hivyo ngoja niutumie uzee huu kwani tunaishi mara moja tu....nikitoka kutafuta ridhiki huwa napita pita kwenye vimiziki kidogo kuangalia mambo...
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Mauaji ya Sheikh Abeid Karume Kutoka kitabu Cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi. (Misheni ya Tatu) Baada ya kuona namna mwanamapinduzi halisi, Field Marshal John Okello, alivyoondolewa Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Ni muda sasa nguo zao zimekua zikipotea katika mazingira ya kutatanisha ama kuchanwa na vipande kutokuonekana. Kipindi cha mwanzo nilihisi panya, lakini ninejiridhisha haiko...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Habari wakuu, Wakati ikitoa tathmini yake ya wiki moja, bodi ya Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) pamoja na mambo mengine, wamekipongeza kituo cha Clouds kwa kumsimamisha kazi mfanyakazi wake...
22 Reactions
337 Replies
56K Views
Kwanza nianze kwa kusema kuwa najua Mimi ni Mtu mdogo sana kuweza kuwaamulieni CMG nini cha kufanya ILA natambua kwa jinsi CMG mlivyo Watu wema, makini na wastaarabu sana na ambao huwa mnapenda...
19 Reactions
125 Replies
20K Views
Wanajamvi Nalazimika kuandika huu ujumbe baada ya kuona msitu ukivunwa kila uchao yaani kuna magari yanasomba mkaa usiku kucha katika mkoa huo mpaka sasa hakuna usimamizi madhubuti wa mazao...
1 Reactions
0 Replies
695 Views
Taasisi zote zenye majina ya Muhimbili, iwe chuo kikuu cha tiba Muhimbili, kiwe Muhimbili National Hospital na hata hii taasisi mpya ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute kila siku wanafanya siasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom