Mlemi
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 161
- 91
Rais wangu ƙipenzi unaetupenda sana sisi watanzania hasa sisi wanƴonge, pole na majukumu ƴa ƙujenga taifa. Nina maumivu maƙuɓwa ndani ƴa moƴo wangu naƙariɓia ƙupata msongo wa mawazo kutoƙana na kaɓiashara ƙangu ninaƙofanƴa.
Mimi muheshimiwa rais nimemaliza chuo ila ƙutoƙana na upungufu wa ajira niƙaamua ƙuanza ɓiashara ndogonɗogo za kuchukua ɓidhaa ƙutoƙa Uganɗa na kuuza Tanzania. Napita ɓoda mbili muheshimiwa, boda ya Busia ambapo napita pasipo usumbufu hadi napata matumaini ƙuwa nitafanikiwa ƙupitia ƙaɓiashara haƙa ƙangu ƙadogo.
Lakini muheshimiwa kero ƴangu ipo ƙatiƙa ɓoda ya Namanga mimi nimetoƙea ƙampala jana muda wa saa tano na Mungu aƙatusaidi muda wa saa tisa usiku tukaingia ɓoda ƴa Namanga.
Kama ƙawaida watendaji waƙo waƙaƙagua gari na kuhesabu bidhaa moja ɓaada ƴa nƴingine ili tuweze kulipa ƙoɗi nami nawapongeza ƙwa ƙazi nzuri muheshimiwa. Kero inaƙuja kwenƴe idara ya TBS, TFDA NA IƊARA NYINGINE TOFAUTI NA TRA NA USALAMA WA TAIFA hizi idara zinafanya ƙazi zaƙe kwa nyodo sna muheshimiwa, wanachelewa kuja na unakuta gari imeshakaguliwa wanaanza tena upya ƙukagua, imagine tangu saa tisa usiku gari imeingia ɓoda mpaƙa sasa saa tano ndo tunaruhusiwa ƙutoƙa ɓoda.
Kwakweli Mheshimiwa Rais hiƙi ƙitu ƙimenikatisha sana tamaa mimi ɓinafsi na abiria wengine ambao wanataƙa kusafiri mpaƙa kufika Dar na muda umeenɗa na njaa zinauma na pesa zimetuishia mfukoni. Mheshimiwa Rais naomɓa utusaidie angalau tuwe na furaha ƙatiƙa nchi yetu, na tuweze ƙwenda samɓamɓa na kauli mɓiu ƴaƙo ƴa hapa ƙazi tu. Tunaƙutegemea sana kiongozi wetu katika maendeleo ƴetu ɓinafsi na maendeleo ƴa taifa ƙwa ujumla.
MUNGU AKUƁARIKI SANA.