Msaada: Kiashirio kwamba godoro limeisha muda wake

Watakujibu walalia super banco , ila sisi wengine walalia ngozi na kamba ngoja tupate uzoefu wa super banco.

Ila ingekuwa godoro la ngozi unkiona linalia "kwichi kwichi" wakati wa mtanange wa wakubwa na chaputa ujue kwisha habari yake, tafuta ngozi Mpya.
 
Godoro lililochoka huwa zuri kwa sex,haswa kama mwenzi wako mwembamba.
 
Ukiona godoro limebadilika rangi kutoka weupe mpaka kuwa njano kama mahindi ya kuchemsha, jua you are sleeping on expired mattress...
 
Bado najiuliza kama lugha ya picha ndio imetumika kwenye huu uzi au la!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom