joboychali
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 169
- 85
Jamani wakuu wa JF nina ndugu yangu amekuja kunambia na kunishawishi kuhusu D9 clubs anataka nijiunge lakini bado nina wasi wasi isije kuwa kama desi au gambling zingine.naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu kwa wenye uwelewa kidogo au upeo mkubwa kuhusu D9 club. Nawasilisha.