Mahubiri ya mzee wa upako yanasaidia sana kuwajenga watu kifikra na kuwajenga kiroho

Mzee wa Mabapa amsaidie nani yule Dini Dili!
 
Rais wa nchi akiwa na upako ni nchi nzima inaupako,mnaona jamma wa EU na Worldbank wanaleta mikopo yao hapa, hapa sasa ndio sisi tunapanga mashariti.
 
Mzee wa Mabapa amsaidie nani yule Dini Dili!
watu kama nyie wakupinga hamja anza leo tangu Enzi za yesu na kwa kawaida haiwezekani mtu kukubarika na wote na hata maandiko matakatifu yanaandika nabii hakubaliki kwao
 
Back
Top Bottom