Hawa wenzetu wana ubaguzi wa hali ya juu kwetu waafrika

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,580
15,792
Hawa wenzetu wa ulaya kwa nini wapo hivi.

1. Kundi la waafrika ulaya- wakimbizi
2. Kundi la wazungu afrika - watalii
3. Kundi la waafrika msituni- majangili
4. Kundi la wazungu msituni- wawindaji
5. Weusi wakitembelea ulaya - wageni
6. Wazungu wakitembelea afrika- wataalam
[HASHTAG]#milango[/HASHTAG] yetu ya ufaham sijui ilisombwa na mafuriko.
 
Back
Top Bottom