johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,147
- 164,578
Tafrani kubwa ilizuka ndani ya daladala baada ya joka kubwa aina ya chatu kuibuka ghafla wakati basi hilo likiwa ktk mwendo mkali.Basi hilo linafanya route ya Makumbusho=Kibamba na tafrani hiyo ilitokea juzi ktk eneo la kibamba darajani.
Source gazeti la Tanzania Daima
Source gazeti la Tanzania Daima