Nitumie nafasi kuomba SUMATRA ijielekeze huko Liwale ijonee ukatili na uhuni wa wenye magari ya usafiri wa Dar - Liwale/Liwale - Dar. Waheshimiwa hawa hawana ratiba zinazoeleweka, hawana mabasi yanayojulikana, wanaanza kumtafutia mteja gari, wakati wakati tayari wameshamkatia tickets, mpaka wakipata hilo gari, msafiri atapata gari nyingine na kiti namba nyingine, (pengine akose vyote, apewe ahadi mpya,labda kesho). Kusafiri na kifurushi, ndio shida! Bei mbaya, usalama haupo, mzigo ukipotea mpaka muende polisi.
CHONDE, CHONDE SUMATRA, HEBU LITAZAMENI HILI, MUKIANZIA NA DAR. KWENYEWE.
CHONDE, CHONDE SUMATRA, HEBU LITAZAMENI HILI, MUKIANZIA NA DAR. KWENYEWE.